Tuesday, August 7, 2012

Ngome Imara Group


Mfuko huu utakuwa ukijishughulisha na majanga yanayowakabili wanachama wake pamoja na jamii kwa ujumla. Majanga hayo ni kama vile, vifo, ajali, mafuriko yataokanayo na mvua, upepo utakaosababisha majanga ya kukosa makazi au kuharibu makazi ya mmoja wa wanachama wa mfuko huu.    Pia utakuwa ukijishughulisha na kusaidia katika hali ya mambo ya kijamii, kama vile kuoa na kuolewa, kuozesha mtoto, kusomesha mtoto, na kujisaidia katika bishara ndogo ndogo ili kujikwamua kutokana na umasikiniwa kipato nk. unaweza kuwasiliana kwa email hii: ngomeimara@gmail.com au kwa simu ya kiganjani: 
+255 717943196

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...